Bad News For Good People, Good News For Bad People (Swahili)

Bad News For Good People, Good News For Bad People (Swahili)

$33.00
{{option.name}}: {{selected_options[option.position]}}
{{value_obj.value}}

HABARI MBAYA KWA WATU WAZURI Yesu akasema: “Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi” (Marko 2:17) Pengine utastaajabu kujifunza ukweli kwamba ndani ya Biblia imo habari mbaya kwa watu ambao kwa kawaida wangejiweka katika kiwango cha watu wazuri. Mistari inayofuata ni mifano ya ukweli huu: Kwa maana sisi sote tumekuwa kama mtu aliye mchafu, na matendo yetu yote ya haki yamekuwa kama nguo iliyotiwa unajisi (Isaya 64:6). Hakuna mwenye haki hata mmoja; hakuna afahamuye; hakuna amtafutaye Mungu (Warumi 3:10,11). Vitu vyote ni vi utupu na kufunuliwa machoni pake yeye aliye na mambo yetu (Waebrania 4:13). Mungu huyatafuta tena mambo yale yaliyopita (Mhubiri 3:15). Si kwa sababu ya matendo ya haki tuliyoyatenda sisi; bali kwa rehema yake, alituokoa (Tito 3:5). Kwa sababu hakuna mwenye mwili atakayehe- sabiwa haki mbele zake (Mungu) kwa matendo ya sheria (Warumi 3:20). Mungu ... sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu (Matendo 17:30). Msipotubu, ninyi nyote mtaangamia vivyo hivyo (

Show More Show Less